Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

ARSENAL: MOUSSA SISSOKO ANATAKA KUIHAMA NEWCASTLE NA KUHAMIA ARSENAL


Moussa Sissoko amemwambia kocha wake Rafa Benitez kuwa anataka kuhamia Arsenal...Sissoko anasema anataka kuhamia "the beautiful Arsenal" au Arsenal nzuri kwa lugha yetu...Amesema anataka kufuata nyayo za mchezaji anayempenda sana Partick Viera...Patrick Viera alikuwa mchezaji hodari na makini wa Arsenal miaka ya nyuma...Sissoko anayetokea France amesema hawezi kucheza Championship na anataka kukuza kipaji chake na acheze na timu kubwa duniani na hatimaye timu yake ya taifa ya France...Bofya hapa upate habari zaidi.

Yorum Gönder

0 Yorumlar